Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana
Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume wakati akirejea Nchini leo kutokea Indonesia katika Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana
Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini leo kutokea Indonesia katika Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na
Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati aliporejea nchini kutokea Nchini Indinesia na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Ujumbe aliofuatananao waliposhiriki katika Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.
[Picha na Ikulu.]



0 Comments