Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba,
akitoa ufafanuzi kuhusu
utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu
ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema
tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM]
mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Mambo
ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba Yahaya anayemfuatia wakifuatilia
ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama kuhusu Oparesheni mbalimbali za kuzuia
uhalifu hapa nchini, wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema
tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM]
mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala, akiwa
pamoja na watendaji wengine wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, akimfuatilia kwa
makini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama, Mhe. Balozi Adad Rajab wakati Mwenyekiti
huyo hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kuipitia Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bjeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema
tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM]
mkoani Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba,
akisoma Bajeti ya Jeshi la Polisi ya mwaka ujao wa fedha, katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika
Wizara hiyo, ambapo kwa siku ya leo Kamati hiyo imepitisha Bajeti za Jeshi la Polisi
na Fungu Hamsini na Moja inayobeba Idara Saidizi ndani ya wizara, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili
mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali
zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka
ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa
kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini.
Kikao hicho kimefanyika leo katika
ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma
[UDOM] mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na
Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan Simba
Yahaya wakifuatilia kwa makini Bajeti ya Jeshi la Polisi ya mwaka ujao wa
fedha, katika Kikao cha Kamati ya Bunge
ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ambapo kwa siku ya leo Kamati hiyo imepitisha Bajeti za
Jeshi la Polisi na Fungu Hamsini na Moja inayobeba Idara Saidizi ndani ya
wizara, hatua ambayo ni muhimu kufikiwa kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili
mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba,
akisoma taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kabla ya Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema
tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM]
mkoani Dodoma.
[PICHA ZOTE NA WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YANCHI]








0 Comments