Random Posts

KIVUKO CHA MV KAZI CHASHUSHWA MAJINI TAYARI KWA KUFANYIWA UKAGUZI WA MWISHO NA KUANZA KAZI.

Kivuko cha MV KAZI kikisubiri kushushwa kwa mara ya kwanza majini kufanyiwa ukaguzi wa mwisho, kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22.
Kivuko cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi, kivuko hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22.

Post a Comment

0 Comments