Mgeni rasmi Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. Moses Kusiluka (kushoto) akiongoza maandamano na viongozi wa Chuo cha Ardhi Morogoro, pamoja na Mkuu wa Chuo cha Ardhi Tabora, Bwn. Justo
Lyamuya, wakati wa maafali ya 35 ya chuo cha Ardhi Morogoro.
Mgeni rasmi Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. Moses Kusiluka (kushoto) akitoa
hotuba katika maafali ya 35 ya Chuo cha ardhi Morogoro, kushoto kwake ni Bwn. Desderius
Kimbe, na anayemfuatia ni Mkuu wa Chuo cha Ardhi Morogoro; Bwn. Justo
Lyamuya.
Katika picha ya pamoja na
wahitimu na baadhi ya wanafunzi, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dr. Moses Kusiluka, kushoto kwake ni; Bwn.
Desderius Kimbe na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo cha Ardhi Morogoro, Bwn. Justo
Lyamuya.
Mgeni rasmi; Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. Moses Kusiluka (kulia) akifuatilia
kwa makini maelekezo ya Mwanafunzi wa
Chuo cha Ardhi Morogoro, ambaye alikuwa akionyesha jinsi ya kutumia kifaa cha
upimaji Ardhi, wakati wa maafali ya 35 ya chuo cha Ardhi Morogoro.
Mkuu wa Chuo cha Ardhi Morogoro, Bwn. Justo Lyamuya (katikati) akitoa maelezo ya kina kuhusu matumizi ya kifaa
cha upimaji Ardhi kwa baadhi ya waalikwa wa Maafali ya 35 ya Chuo cha Ardhi Morogoro.
Na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi





0 Comments