Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha samaki cha MER Des
Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika
kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitazama makasha yenye minofu ya samaki
wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini
Mauritius Machi 21, 2017. Wapili kulia ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar,
Dkt. Khalid Salum Mohammed.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





0 Comments