Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kwanda cha kutengeneza na
kukarabati meli, boti cha pantoni cha Contier Naval Del' Oceaniindien
Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bibi Veroniqu
Gorrioch kuhusu utengeneza na ukarabatiwa meli, pantoni na boti wakati
alipotembelea kiwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, pantoni na
boti cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited)
cha Mauritius Machi 21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




0 Comments