MWENYEKITI wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia
Jenerali Martin Amos Kemwaga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani), kuhusiana na mashindano ya vikosi vya ulinzi na usalama Tanzania itakayoanza
kesho mjini Zanzibar.
BAADHI ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Mwenyekiti wa Baraza
la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga uliofanyika
ukumbi wa mikutano katika uwanja wa Amani.
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA)
wakimsikiliza Mwenyekiti wao Brigedia Jenerali Martin Kemwaga alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha na
Makame Mshenga – Maelezo Zanzibar.



0 Comments