Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin akipiokea Kombe la Mashindano ya Mpira wa miguu katika Timu mbali mbali za majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba,kutoka kwa Mwanamichezo, Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi,(kushoto) katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Raza katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin akizungumza na
Viongozi wa CCM na Vijana UVCCM wa Majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba katika
hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Mfanyabishara na
Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza
Daramsi, hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,[

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi
wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya
Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa
majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM
Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro
leo.

Miongoni
mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika
sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu
vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya
bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa
Fidel Castro wilaya ya Chake chake Pemba leo

Miongoni
mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika
sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu
vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya
bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa
Fidel Castro wilaya ya Chake chake Pemba leo,

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi
wa Jimbo la Ziwani Suleiman Makame Ali (kulia) vifaa vya Michezo kwa
niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu
kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa
CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel
Castro leo,[Picha na Ikulu.]

0 Comments