Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na
Marais wa Nchi nyengine wakipiga ngoma kama ishara ya ufunguzi wa mkuutano wa
kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana
katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kushoto)akiwa na ujumbe
wake jana baada ya kumalizika kwa mkuutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na
Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Balai
Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) Rais wa Sychells Mhe,Danny
Faure.
[Picha Ikulu.]


0 Comments