Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga, wakati
Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya dawa za kulenya nchini.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akimuaga Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga, mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Waziri huyo, jijini Dar es
Salaam leo.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


0 Comments