Msanii wa Filamu kutoka nchini Nigeria, Meke Ezuronye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na ujio wake hapa nchini.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye akifafanua kuhusina na ujio wa Msanii huyo (kushoto) Msanii wa Filamu kutoka nchini Nigeria, Meke Ezuronye.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye (katikati) akimsindikiza Msanii wa Filamu kutoka nchini Nigeria, Meke Ezuronye (kulia) mara baada ya kungumza na waandishi wa habari.
0 Comments