Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji
Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na
Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho
kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini
Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Rwegasira.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara wakati wa Kikao cha Kujadili
Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka
2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akimsikiliza Kamishna wa
Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga wakati wa Kikao cha
Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka
2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.



0 Comments