Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  bwakiagana baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments