Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa wakiwatakia heri ya Masista
katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya
ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada ya
Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu
Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli katika Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika Ibada hiyo ya Jumatano
ya majivu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa mara baada ya Ibada
hiyo ya jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU










0 Comments