Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya
kuwasili kiwandani hapo kwa ajili ya
kuzindua magari 580 ya kusafirisha saruji nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kumkabidhi
barua ya malalamiko kutoka kwa madereva wanaolalamikia utoaji wa ajira hizo
kiwandani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
viwanja hivyo vya kiwanda cha Dangote kabla kuzindua magari 580 ya kiwanda
hicho yatakayosafirisha saruji nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmiliki wa
Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Magari makubwa ya kusafirishia Saruji kiwanda hapo. Kushoto
ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kukagua
kiwanda chake cha Saruji mkoani Mtwara.
Mmiliki
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote akimuonesha Rais Dkt.
Magufuli sehemu ya Kiwanda hicho pamoja na vifaa vyake mkoani Mtwara.
Rais
Dkt. Magufuli akizungumza jambo na mmiliki huyo wa Kiwanda cha Saruji cha
Dangote Alhaji Aliko Dangote.
Rais
Dkt. Magufuli akizungumza jambo na mmiliki huyo wa Kiwanda akiwa na mmiliki wa
Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakipeperusha bendera
kuashiria uzinduzi rasmi wa Magari hayo 580.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi Mradi wa Kituo cha kupooza
umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wengine katika
picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua kituo cha kupooza umeme
kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wengine katika picha
ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa TANESCO mara baada ya
kuweka jiwe la msingi la kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika
mikoa ya Lindi na Mtwara kilichopo mkoani Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha
kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara kilichopo
mkoani Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika kituo hicho cha kupooza umeme.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya kwaresma
katika kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwatakia heri waumini wa kanisa la Katoliki la
Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini hao wa kanisa la Katoliki la
Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wanafunzi wa Shule za Sekondari mara baada ya kusali katika kanisa la Katoliki
la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
PICHA NA IKULU




















0 Comments