Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maelekezo kwa Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge kuhakikisha
kuwa Mradi wa Maji wa Ng’apa uliopo mkoani Lindi unakamilika ndani ya
miezi mine na si vinginevyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasalimia wananchi
waliokusanyika karibu na mradi wa Maji wa Ng’apa uliopo Mkoani Lindi.
Pia Mama Salma Kikwete amemshukuru Rais Dkt. Magufuli kwa kumteua kuwa
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sehemu ya Mradi wa Maji wa Ng’apa mkoani Lindi ambao Rais Dkt.
Magufuli ametoa miezi minne kwa mkandarasi anayejenga mradi huo ili
uweze kukamilika haraka.






0 Comments