Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika Ujenzi wa Gati namba mbili litakayojengwa katika
Bandari ya Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa
Gati namba 2 katika Bandari ya Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania Mhandisi
Deusdedit Kakoko kuhusu eneo ambalo Bandari ya Mtwara walikuwa wakilihitaji
kutoka sehemu nyingine.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari Tanzania Mhandisi Deusdedit
Kakoko akitoa maelezo kwa Rais Dkt. John Magufuli kuhusu eneo ambalo Bandari ya
Mtwara walikuwa wakilihitaji kutoka sehemu nyingine.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini
katika kitabu cha wageni kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Gati
namba 2 litakalojengwa katika bandari ya Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Newala George Huruma Mkuchika
mara baada ya kuwasili katika eneo la Bandari ya Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Mtkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ineke
Bussemaker wakikata utepe kuashiaria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Biashara cha
Benki hiyo mkoani Mtwara
Picha
namba 11.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ineke Bussemaker, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima
Dendego wakipiga makofi mara baada ya kufungua kituo hicho cha Kibiashara cha
NMB mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ineke
Bussemaker mara baada ya kukifungua kituo hicho cha kibiashara mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Mbunge wa Mtwara mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Maftah Nachuma mara
baada ya kufungua kituo hicho cha kibiashara cha Benki ya NMB mkoani Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mnolela ambapo
pia amechangia kiasi cha Shilingi milioni 15 na akamuagiza Mbunge huyo
kuchangia Shilingi milioni 10 kutoka fedha za jimbo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
kijiji cha Madangwa katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM na Mbunge
mteule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete
akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati aliposimamishwa njiani na Wanakijiji wa Madangwa katika jimbo la Mtama
mkoani Lindi.
PICHA NA IKULU














0 Comments