Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Waziri wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu aliyefika Ikulu pamoja
na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Waziri wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu kuhusu
Tanzania kupeleka madaktari 500 nchini Kenya, Ajira za Madaktari hao
zitatangazwa mara moja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na zitawahusu Madaktari
ambao hawajaajiriwa Serikalini(hawapo katika utumishi wa umma au taasisi za
serikali) waliomaliza mafunzo kwa vitendo na ambao wamesajiliwa na Baraza la
Madaktari la Tanganyika.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na ujumbe kutoka nchini Kenya uliongozwa na Waziri wa Afya kutoka
nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Gavana wa Kisumu County Jack Rangumba ambaye aliambatana na Waziri wa Afya
kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri wa Afya kutoka nchini
Kenya Dkt. Cleopa Mailu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Afya kutoka nchini
Kenya Dkt. Cleopa Mailu aliyeambatana pamoja na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu akizungumza na Wanahabari mara
baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuelekeza
jambo Waziri wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu pamoja na Gavana wa
Kisumu County Jack Rangumba kabla hawajaondoka Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Afya Ummy Mwalimu akizungumza kuhusu Kutangaza ajira za Madaktari wapatao
500 ambao watakwenda kufanya kazi nchini Kenya. Ajira hizo zitawahusu Madaktari
ambao hawajaajiriwa Serikalini(hawapo katika utumishi wa umma au taasisi za
serikali.
PICHA NA IKULU










0 Comments