Kwa mara ya kwanza Candy and candy group of companies wanakuletea Tuzo ya heshima Tanzania "BIG ISHU AWARDS"
Tuzo
hiyo itatolewa kwenye taasisi mbalimbali,kutokana na ubunifu na namna
walivyofanikiwa kubadilisha maisha ya wengi nchini Tanzania.
Tuzo hizo zitalenga makampuni na mashirika mbalimbali kutokana na namna ambavyo zinatoa fursa za kimaendeleo kwa watanzania.
Tuzo
hizi pia zinatoa fursa ya kukutanisha wamiliki wa makampuni na
mashirika mbalimbali kuweza kusheherekea na kubadilishana mawazo siku
hiyo.
Orodha na vipengele vitakavyoshindaniwa katika tuzo hizo ni:-
-CORPORATE COMPANIES
-AGENCIES
-NGO'S
-SOCIAL NETWORKS
-GOVERNMENT MINISTRIES
-MEDIA
-EDUCATION INSTITUTION
-SPORTS
TOURISM AND HOSPITALITY
-ENTERTAINMENT
Big
ishu watazindua kampeni ya media kutangaza washiriki wote na miradi yao
waliyoanzisha ya kuwasaidia wananchi kubadilisha maisha yao.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:-
Simu namba:- +255652052263
Barua Pepe:- joe@afwab.com

0 Comments