Baadhi ya watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika
Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017
Baadhi ya watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika
Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe.Bw
Deogratius J. Ndejembi akiwasilisha hotuba yake wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Wanawake iliyofanyika wilayani hapo Machi 8, 2017
Baadhi ya watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakimsikiliza mgeni Rasmi(hayupo pichani) wakati wa sherehe za
kuiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2017 iliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kongwa Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku
ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.
(PICHA
ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)






0 Comments