Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba
yake ya Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa
Miguu katika uwanja wa Amaan
Baadhi ya wanakamati ya maandalizi ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira
wa Miguu katika uwanja wa Amaan uliofanyika leo wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya
Uzinduzi wa michuano hiyo
Vijana wa CCM Aisi Kuu Kisiwandui wakipita kwa maandamano wakati wa
Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu
katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohanmed Shein,
Vijana wa CCM Jimbo la Jang'ombe wakipita kwa maandamano wakati wa
Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu
katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohanmed Shein
Vijana wa CCM Family wakipita kwa maandamano wakati wa Uzinduzi wa
Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa
Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed
Shein,
[Picha na Ikulu.]
[Picha na Ikulu.]






0 Comments