Random Posts

WAZIRI MKUU AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO KIKWETE

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017. Kulia ni Rais Mstaamu Dk. Kikwete.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments