Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza katika kipindi cha michezo kinachorushwa na
Radio Efm katika ziara yake ya
kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye ( kulia) akizungumza
na wafanyakazi wa Radio Efm (hawapo katika picha) wakati wa ziara ya
kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja Mkuu
wa Radio Efm Bw.Denis Ssebo.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (wa pili kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa Radio ya Efm Francis Ciza (wa kwanza kulia) alipoitembelea Radio
hiyo leo Jijini Dar es Salaam wengine
ni Meneja Mkuu wa radio hiyo Bw. Denis
Ssebo (wa tatu kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassani
Abbas (wa kwanza kushoto).
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watangazaji wa Radio ya Efm a)
alipoitembelea Radio hiyo leo Jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) akipata maelekezo wa namna uuandaji wa habari
unavyofanywa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kutoka kwa Mhariri wa Habari wa
kituo cha televisheni cha TV1 Bibi. Lulu Sanga(kulia) katika ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (aliyekaa) akionyeshwa muundo wa studio ya kituo cha
Televisheni cha Tv1 na Mkuu wa Uzalishaji wa Vipindi Bw.Mukhsin Mambo (kushoto)
wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi
wa kituo cha Televisheni cha TV 1 wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya
habari hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa radio Times fm Bw.Rehule Nyaukwa
(katikati) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassani
Abbas wakati wa ziara ya kuvitembelea
vyombo vya habari hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akionyeshwa namna urushwaji wa matangazo
unafovyanywa kwa kutumia la matangazo ya nje (OBVAN) na Afisa Tehama wa radio
Times Fm Bw Dickson Zuri watika ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Radio ya Times Fm wakati ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Lorietha Laurence WHUSM).










0 Comments