Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Annastazia James Wambura katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO mala baada
ya kutoka kula kiapo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea shada la maua kutoka kwa mmoja wa
wafanyakazi wa Wizara hiyo Bi. Flora Mwnyenyembegu wakati wa mapokezi ya Waziri
huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es
Salaam. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Annastazia James
Wambura(wapili kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole
Gabriel.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Bibi. Nuru Khalfan Milao wakati wa mapokezi ya Waziri huyo yaliyofanyika katika
Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya
Habari – MAELEZO Bibi. Zamaradi Kawawa wakati wa mapokezi ya Waziri huyo
yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo
Yusuph Omary wakati wa mapokezi ya
Waziri huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini
Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa OElisante Ole Gabriel akimtambulisha Kwa Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) wakati
wa mapokezi ya Waziri huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari –
MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewaakiweka saini katika kitabu cha wageni mara
baada ya kupokelewa na watendaji wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo pamoja na Taasisi zake mapokezi yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya
Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Annastazia James Wambura.
Picha zote na Frank Shija – MAELEZO.







0 Comments