Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante ole
Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Harrison Mwakyembe na wakati waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura wakati
alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe
akisalimiana na baadhi ya wakurugenzi na wakuu wa Taaisi zilizo chini ya Wizara
yake wakati alipowasili Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada
ya kuwasili Ofisini za Wizara Mjini
Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akifafanua jambo kwa Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kabla
ya kuzungumza na waandishi wa habari kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Mhe. Anastazia Wambura.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura(kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuzungumza na
waandishi wa habari Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole
Gabriel.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na waandishi wa
habari(hawapo pichani) kuhusu mikakati yake katika kuiongoza Wizara.
Baadhi ya wakurugenzi wakuu wa Taasisi
zilizo chini ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakifuatilia hotuba
ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison
Mwakyembe(hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao alipowasilikatika
Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa Ofisini kwake Mjini Dodoma akitekeleza
majukumu mbalimbali ya Wizara.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.















0 Comments