Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Mkumbo akiwa pamoja na Afisa
Mtendaji mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja na menejimenti ya Dawasa
alipotembelea Tenki la kubwa la Maji
lilipo Kibamba , jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Mkumbo akipata maelezo
kutoka kwa mkandarasi alipotembelea mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu.


0 Comments