Random Posts

KOCHA WA MAJI MAJI AHIDI USHINDI DHIDI YA TOTO AFRICA HAPO KESHO , ASEMA MAJI MAJI HAITASHUKA DARAJA KAMWE.

Kocha Msaidizi wa timu ya Maji Maji (Wanalizombe) , Habibu Kondo amewahakikishia wanachama wa Club ya Maji Maji na wadau wa soka mkoani Ruvuma kuwa timu hiyo haitashuka daraja , hivyo wawe na amani katika michezo hii iliyobakia lazima Maji Maji itashinda na kubaki ligi kuu Tanzania bara. 

Post a Comment

0 Comments