Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Elizabeth Titus Munthali, wakati wa sherehe
ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania,
iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es
Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni
Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu
wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Honest Amedeus Matem, wakati wa sherehe ya
maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika
leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia
kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi
msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais
wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Annastacia Mbunda, wakati wa sherehe ya
maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika
leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia
kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi
msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais
wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Salim Ngailo, wakati wa sherehe ya maafali
ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo
katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa
mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi
Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi
hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Lauden Cheyo, wakati wa sherehe ya maafali
ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo
katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa
mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi
Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi
hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Charles Peter Moshi, wakati wa sherehe ya
maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika
leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia
kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi
msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais
wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika kwenye Jengo
la Kibiashara la Haidary Plaza jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya Wahitimu wakifuatilia Hotuba ya mgeni rasmi.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba
Buyamba.akizungumza wakati wa maafali hayo.
Meza Kuu.
Rais wa Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania,
akisoma hotuba yake wakati wa maafali hayo.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.akitoa
neno la shukrani katika maafali hayo.
Mtoa mada katika maafali hayo, Gabriel Mwero, akitoa
mada.
Baadhi ya Wahitimu waliopokea vyeti katika mahafali
hiyo,wakimsikiliza mgeni rasmi.
Mkaguzi Msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel
Subi, akitoa mada katika mahafali hiyo.
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga,
(kulia) akiteta jambo na Rais wa Taasisi hiyo ya Usimamizi wa Vihatarishi, Pius
Maneno, wakati wa hafla hiyo ya maafali katika ukumbi wa Hydary Plaza.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed
Mtonga, (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi
na wahitimu wa Taasisi hiyo.

0 Comments