Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalaimiana na Naibu Mawaziri kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi
Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rufiji, Mohamed
Mchengerwa kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla
kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)




0 Comments