Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza
kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 25, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi
na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Bunge Ajira Kazi na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.
Isack Kamwele akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.
Palamagamba Kabudi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha kumi na mbili cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha kumi na mbili cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe Innocent
Bashungwa akiuliza swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe. Sabrina
Sungura akiuliza swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Hamida
Mohamed Abdallah akiuliza swali
katika kikao cha kumi na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Mbunge wa (CCM) Mhe. Albert Obama Ntabaliba
akiuliza swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika
kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 24, 2017.
Baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi
wanaoshiriki katika gwaride la Sherehe za miaka 53 ya Muungano wakifuatilia
shughuli za Bunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO.
















0 Comments