Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT kutoka
mikoa minne ya Unguja.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT Unguja
ambapo aliwaambia washikamane katika kukitetea Chama kilichobeba maana
halisi ya Mapinduzi na alihimiza Vijana wapewe nafasi kwa wingi kwani
wao wananguvu na kasi ya siasa ya wakati huu.
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,W anawake,na
Watoto Mhe, Maudline Castico akizungumza wakati wa mkutano wa Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa UWT Unguja .
Mke wa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akizungumza
kwenye mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Viongozi wa UWT kwenye ukumbi wa NEC Afisi Kuu Kisiwandui, Zanzibar.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa Filamu
nchini maarufu kama Bongo Movie waliopita kumsabahi kwenye Makao Makuu
ya CCM, Kisiwandui Zanzibar.






0 Comments