Subscribe Us

header ads

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Ndg. Anna N. Makillagi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 14, 2017. 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea leo.

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments