Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama
Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa
Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na
baadaye kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka jiwe la msingi
Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi
mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina ya
baadhi ya wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa Ujenzi huo wa
Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani
Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza. Wakwanza kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja
Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akichota mchanga na kuweka kama ishara ya
kushiriki katika ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia
jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na
Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao
cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia
jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na
Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Mama Janeth Magufuli
wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa wakati
akielezea kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini
Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa
kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja
Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala
mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha
ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati akipita katika
katika ya mfano wa Reli hiyo itakayojengwa.
Mfano
wa Reli hiyo ya Kisasa ya Standard Gauge SGR itakayojengwa kuanzia Dar es
Salaam hadi Morogoro na baadae kuendelea hadi mikoa ya Mwanza na Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa
RAHCO Masanja Kadogosa wakati akielekea kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Reli
hiyo ya Kisasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya
kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekhe Abubakary Zubeiry mara baada ya kuweka jiwe la
Msingi katika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii
Mrisho Mpoto mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi huo wa Reli ya
Kisasa Pugu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Reli ya
Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na
baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
PICHA NA IKULU

















0 Comments