Baadhi ya mawaziri na wabunge wakiwasili
katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhudhulia kikao cha sita cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe. Luaga Mpina akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha
sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha sita cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu
Nchemba akijibu hoja mbalimbali katika
kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha sita cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi
Wazee na Watoto Mhe. Ummy MWalimu
akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.
Jenista Mhagama akijibu hoja mbalimbali
katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na
Ufundi Mhe. Stella Manyanya wakifuatilia
hoja mbalimbali katika kikao cha sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Moses Nnauye
akimsikiliza Mbunge wa Mhe katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma Leo.
Mbunge wa Vitimaalum (CCM) Mhe. Mary
Mwanjelwa akiuliza swali katika katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Mbunge wa Vitimaalum (CCM) Mhe. Fatma
Toufiq akiuliza swali katika katika
kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Mhe. Joseph
Mbilinyi akiuliza swali katika kikao cha
sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
![]() |
Mbunge wa Ukonga (CHADEMA) Mhe. Mwita Waitara akiuliza swali katika katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge wakifuatilia kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson
Lwenge wakifuatilia kikao cha sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Baadhi ya wabunge wakifuatilia kikao cha
sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.























0 Comments