Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na
Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika Semina ya Viongozi
na Waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
Mhe,Rashid Ali Juma na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
katika Semina ya Viongozi na Waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali
iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahmoud mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza
la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika Semina ya Viongozi na
Waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi na Waandishi wa habari wa
Vyombo vya Serikali katika Semina ya siku moja iliyofanyika leo katika
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma
alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi na Waandishi wa
habari wa Vyombo vya Serikali katika wengine alipowasili katika Semina
ya siku moja iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Baadhi ya Wahariri wa Habari na waandishi wa habari wa Vyombo vya
Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wanahabari hao
katika Semina ya siku moja iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Wakuu wa Wilaya za Zanzibar na Waandishi wa habari wakiwa katika Semina
ya siku moja ya Viongozi na Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
mmoja Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
Washauri wa Rais wa Zanzibar ni mongoni mwa Viongozi waliohudhuria
katika Semina ya siku moja ya Viongozi na Waandishi wa Habari wa Vyombo
vya Serikali iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani)
Baadhi ya Wanahabari wa Vyombo vya Serikali wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na wanahabari hao katika Semina ya siku moja
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
mmoja Mjini Unguja,

mmoja Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 01/04/2017.

0 Comments