Random Posts

SPIKA AWAONGOZA WABUNGE KUUGA MWILI WA MAREHEMU MHE.DKT ELLY MARKO MACHA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA LEO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai  na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakiupokea  mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha ambao  umebebwa na wapambe wa Spika katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge,Mjini 
Dodoma
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Mchugaji wa kanisa la KKKT Dodoma akiongoza ibada fupi ya kumwombea  Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwa na  na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa na Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson, Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe na Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama wakiwa katika viwanja vya Bunge tayari kwa Ibada fupi ya ya kumwombea Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA). 
 Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani kwa familia ya Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.Kushoto kwake  ni Viongozi mbalimbali wa Serikali na Bunge.

 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Serikali kwa familia ya Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.Kushoto kwake  ni Viongozi mbalimbali wa Serikali na Bunge.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Bunge kwa familia ya Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.Kushoto kwake  ni Viongozi mbalimbali wa Serikali na Bunge.
 Baadhi ya Wabunge wakiwa katika viwanja vya Bunge Dodoma kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho za mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha  aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA). 
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments