Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto)
akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, pale walipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katika ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za
Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi
za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto)
akimsikiliza Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo
(kulia) na anaefuata ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo
Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) walipotembelewa leo na ujumbe kutoka
Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto)
akimsikiliza Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg.
Kym McCarty (katikati) na anaefuta ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za
kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) walipotembelewa leo na ujumbe kutoka
Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments