 |
| Daktari bingwa wa upasuaji wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hussein Hassanali (kulia) kwa kushirikiana na mwenzake wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza Ramana Dhannapuneni (kushoto) wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha mlango wa moyo ambao unamatatizo na kumuwekea mwingine leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. |
Madaktari bingwa wa upasuaji wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Picha na Anna Nkinda – JKCI
0 Comments