Random Posts

UJENZI SPORTS CLUB YAJADILI NAMNA YA KUJIIMARISHA KIMICHEZO

 Mwenyekiti wa Ujenzi Sports Club Bw. Albert Maselle (Kushoto) akitoa maelezo kwa viongozi na wajumbe wateule wakati wa kikao cha kujadili namna ya kujiimarisha zaidi kimichezo.
 Katibu wa Ujenzi Sports Club Bw. Shukuru Sikunjema (Katikati) akifafanua jambo kwa viongozi na wajumbe wateule wakati wa kikao cha kujadili namna ya kujiimarisha zaidi kimichezo.
 Katibu wa Ujenzi Sports Club Bw. Shukuru Sikunjema (Kushoto) akisoma taarifa ya muongozo wa kujiimarisha kimichezo  kwa viongozi na wajumbe wateule wakati wa kikao cha kujadili namna ya kujiimarisha zaidi kimichezo.
 Mjumbe wa Ujenzi Sports Club Bw. Hamza Mohamedi akitoa mchango wake wa namna ya kujiimarisha kimichezo wakati wa kikao cha pamoja.
Viongozi na Wajumbe wa Ujenzi Sprts Club wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao cha kujadili namna ya kujiimarisha zaidi kimichezo. Ujenzi Sports Club ipo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi).


Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Post a Comment

0 Comments