Shirika la hifadhi ya jamii NSSF limetoa msaada wa simenti mifuko 800 na rolu 400 za nondo kwa ajili ya ujenzi wa zahanati katika kijiji cha matama kata ya muhukuru halimashauri ya wilaya ya songea mkoani Ruvuma.
Shirika hilo limechukua hatua ya kutoa msaada huo baada ya hadha kubwa waliyokuwa wanaipata wananchi hawa ya kufuata matibabu umbali wa kilometa 62 kama anavyobainisha meneja wa NSSF mkoa wa Ruvuma BI MARIAM MUHAJI
0 Comments