Kaimu katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na utezi wa Wakuu wa Idara mbalimbali za Makao Makuu (kushoto) Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Jokate Mwegelo. ambapo uteuzi wake ulizua sintofahamu ndani ya Umoja huo ambapo baadhi wakihoji uhalali wa
mamlaka iliyomteua.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.


0 Comments