Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi
la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa
ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar.

wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali
Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani
Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa
Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji

Zanzibnar

Zanzibnar.
Baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Wajumbe wa Sekretari ya Kamati Maalum ya Uchangiaji wa Madawati wakiwa tayari kunukuu kila mchango uliotolewa wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wakuu wa Mikoa na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati wa Uchangiaji wa Madawati iliyoteuliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
wakimsikiliza Rais alipokuwa akifanya uzinduzi na uhamasishaji huo
uliofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja
Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji
wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.

0 Comments