Random Posts

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEWATAKA MABALOZI WA TANZANIA KUTANGAZA FURUSA ZA UWEKEZAJI TANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  amekutana na Mabalozi  Wanane waTanzania Walioteuliwa  hivi karibuni, Ambao  Walifika Ofisini kwake  Mjini  Dodoma 21/April/2017  kumuaga  kwa ajili ya kwenda  Kuanza  Kazi  ya kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizo pangiwa  .

Picha na PMO

Post a Comment

0 Comments