Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza Kikao cha sita cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 kipindi cha jioni Leo Aprili 12, 2017 Mjini DODoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia
katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha
kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju
akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti
leo Mjini Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka Fedha 2017/2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijibu
hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini
Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri
Mkuu kwa Mwaka Fedha 2017/2018.
Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony
Mavunde akijibu hoja mbalimbali za
wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae
wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka
Fedha 2017/2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na Naibu
Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi
Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde wakifuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa akijibu hoja mbalimbali
za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae
wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa
Fedha 2017/2018.
Wabunge na Mawaziri wakifuatilia Hotuba ya
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu
hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini
Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri
Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2017/2018.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.








0 Comments