Subscribe Us

header ads

WANACHAMA WA GIRL GUID RUVUMA WAPEWA ELIMU YA USTADI WA MAISHA NA ATHARI ZA KUFANYA NGONO KATIKA UMRI MDOGO

Twendeni tukajenge taifa serikali GIRL GUID maua chanua kauli mbiu ya wimbo wa kundi la wanafunzi toka chama cha girls guide hapa mkoani Ruvuma waluopata elimu jinsi ya kujikinga na maradhi na stadi ya maisha elimu iliyotolewa na walimu kutoka shule ya sekondari MFARANAYAKI

Post a Comment

0 Comments