Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na
Utawala Bora) akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais (Utumishi na
Utawala Bora) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
George Simbachawene akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa
mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
TAMISEMI Mhe. Luaga Mpina akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Mhe. Abdallah Dadi
Chikota akiuliza swali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu
Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe. Rashid Shangazi
akiuliza swali katika kikao cha saba cha
Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Kinondoni (CUF) Mhe. Maulid Said Mtulia akiuliza
swali katika kikao cha saba cha Mkutano
wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William
Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe Gerson
Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania
Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo
na Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Abdallah Bulembo katika kikao cha nane cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu
Nchemba akitoa taarifa kwa Bunge kuhusu mauaji ya askari wanane yaliyotokea
siku ya Alhamisi wiki iliyopita Kibiti Mkoani Pwani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista
Mhagama pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju wakifuatilia shughuli za kikao cha nane cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
![]() |
| Watendaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Utumishi na Utawala Bora wakifuatilia kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. |
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18,
2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO





















0 Comments