Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip
Mpango akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe.
Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti maalum Morogoro (CHADEMA) Mhe. Devotha Minja akitoa hoja Bungeni katika kikao cha nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe.
Mwigulu Nchemba(kulia) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakifuatilia kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.







0 Comments