Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza
kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akihutubia Bungeni leo kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na
makadirio ya Mapato na matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa
Fedha 2017/2018.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI katika kikao cha
tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu
hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
Mjini Dodoma.
Picha
zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.








0 Comments