Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu
Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu
Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya
Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang
baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya
Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa
Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo kujitambulisha.
[Picha na Ikulu.]

0 Comments