Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimeleta maafa na uharibifu
mkubwa wa miundombinu ya barabara mkoani Kagera katika eneo la Bulila
Kemondo Bukoba vijijini ambapo barabara ya lami imekatika kabisa na
kusababisha mawasiliano kati ya Bukoba na Muleba kuwa na shaka Wakala wa
Barabara TANROADS wanatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kurejesha
miundombinu hiyo katika hali ya kawaida hapa ni picha mbalimbali
zikionyesha uharibufu huo wa barabara
(PICHA NA BUKOBA WADAUBLOG)


0 Comments